nyumba za wageni sinza zimejaa!!

nyumba za wageni sinza zimejaa!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
habarini za mchana ndugu zanguni nimeiona vyema niwajulishe wale
waliokuwa njian kuelekea sinza nyumba za wageni zimejaa sanan so vyema
ukaagairi mnapokwenda na hii ni kutokana na mvua inayoendelea na inasemekana
karibu wote wanaoingia wanapete za ndoa
 
Ya kweli Haya? Sio unatukata stim ww
 
Wewe umejuaje na ulienda kufanya nini. Mbona nakuona na pete ya ndoa.
 
Kwa hiyo wewe unaelekea upande gani??upo nae huyo uliyekua unaenda nae huko?au ameghairi usumbufu wa daladala na matope kuelekea gongo la mboto..pete yako umeweka mfukoni sio...poa basi tutakuja huku na sisi....Yalllaaah..!!
 
habarini za mchana ndugu zanguni nimeiona vyema niwajulishe wale
waliokuwa njian kuelekea sinza nyumba za wageni zimejaa sanan so vyema
ukaagairi mnapokwenda na hii ni kutokana na mvua inayoendelea na inasemekana
karibu wote wanaoingia wanapete za ndoa

Pdidy umeanza lini kufanyakazi kwenye Magazeti ya udaku?
 
Vipi Piddy, jitihada zako za kutafuta chumba cha kujipumzisha zimegonga mwamba??? Pole sana mkuu jaribu tena baadaye.
 
si unajua tena plus na weekend ndo mambo mswanoooo
 
Chausiku guest house bado ina nafasi.
Mwenye shida awahi.
OTIS.
 
nenda Kempinski bana au movenpick ,vyumba bwelele.
 
Ni mwendo wa ngono kwenda mbele.. Ndiyo maana Tanzania ni nchi ya 5 kwa ukimwi Duniani.
 
Nyumba za wageni dar zina raha yake sana. Mchana zinajaa..usiku zinakuwa empty.
Sasa hivi ukitafuta vyumba vinapatikana!
Kila mtu kesharudi kwenye familia yake.
 
kwa hiyo mkuu umejipumzisha wapi/umerudi kwenye familia yako????????
 
Vipi Piddy, jitihada zako za kutafuta chumba cha kujipumzisha zimegonga mwamba??? Pole sana mkuu jaribu tena baadaye.

anafanya kazi gest. Huwa wafanyakazi wa gest wana link ili waweze kuelekeza wateja wapi chumba kinapatikana.
 
Watanzania tunahusudu ngono sana, ndio maana tunajaza watoto wengi mtaani. Watakuja kutusumbua baadae.
 
Back
Top Bottom