Manzese gest za kumwaga na nafikiri ndio eneo kwa dar na tanzania linaongoza kwa gest. Kila mchagga anayesimamisha jego au gorofa pale ni gest na bar. Nanihii zingekuwa zinatoa kelele kama jenereta zinapokuwa zinatumiwa nahisi manzese dail ingekuwa ni makelele kama kiwandani
Unajua Tanzagiza imelaniwa kwa Ufuska, mambo mengi hayasongi mbele kwa vile watu wanaendekeza ngono,wizi,nk, mbona wepesi kuiga ya nje na wagumu sana ktenda ya kwetu wenyewe. Tubadilike