House4Rent Nyumba zinapangishwa Kigamboni

House4Rent Nyumba zinapangishwa Kigamboni

NANGAI MSUMI

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
146
Reaction score
94
Chumba kimoja cha kulala ambacho ni master,jiko, ukumbi. Na ndan Kuna Min supermarket inajengwa . zipo nyumba Tisa sehem moja. Mazingira mazur, zinajitegemea maji na umeme. Kodi ni 200,000/= Kwa mwezi.

IMG-20220408-WA0010.jpg
 
Yeah.ila engineer amesema Kama mtu atakuwa na Familia na Kwa sababu jiko ni kubwa Sana anaweza kulifanya jiko Kuwa chumba Cha kulala pia, na jiko utatengezewa kwenye kikolido.

Huyo engineer hakujua tangu mwanzo kwamba kuna familia zingine kubwa hadi nyumba zote 9 akajenga chumba kimoja? Engineer?
 
Huyo engineer hakujua tangu mwanzo kwamba kuna familia zingine kubwa hadi nyumba zote 9 akajenga chumba kimoja? Engineer?
Baada ya Nyumba kuanza kujengwa na kupokea baadhi ya maoni ya watu nafikili ndo wakasjauriana kuwa Kwa atayehitaji. Basi atafanyiwa vyumba viwili vya kulala.
 
Back
Top Bottom