NANGAI MSUMI
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 146
- 94
Kigamboni vijibwen.karibu na daraja la NyerereKigamboni kubwa.
Ipo kigamboni ipi?
Bei ganiNyumba Zina chumba kimoja master, jiko, Sitting room, feni, chumani na ukumbini, zipo ndani ya fensi mazingira mazur.na ulinzi Upo. Car parking pia ipo ndan. Nyumba ipo karibu kidogo na ukingo wa Bahari. Karibu sana.View attachment 2207986View attachment 2207985View attachment 2207989View attachment 2207987View attachment 2207988View attachment 2207990View attachment 2207991View attachment 2207993View attachment 2207992
Kisiwan ipo ndani ya vijibwen. Vijibwen ni kata ambayo ndani yake Kuna mitaa 5. Ndani ya hyo mitaa ndo Kuna Kisiwan piaIv kisiwani ni wapi na vijibweni ni wapi kunanichangany san Aya maeneo