House4Rent Nyumba zinapangishwa Kisota Kigamboni

Abyzee

New Member
Joined
May 23, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Nyumba mbili zinapangishwa Kisota Kigamboni, barabara ya Damian Do Amsi Road, Kilometa 8 kutoka Feri). Nyumba moja ni ya vyumba 3 (self-contained with a master bedroom). Nyumba nyingine ni chumba kimoja cheny sebule, jiko na choo ndani. Nyumba zote ziko ndani ya uzio mmoja na kila moja ina mita ya umeme ya kujitegemea (Luku yake). Maji ni ya DAWASA, nyumba mbili zinatumia mita moja.

3 Bedroom
Ni self-contained with a master bedroom, sebule, dining, na jiko. Ina makabati vyumbani na feni (ceiling fans. Ina mita yake ya umeme (Luku)

Bei ni shilingi 400,000/-

1 Bedroom
In choo ndani, sebule na jiko. Ina mita yake ya umeme (Luku)

Bei ni shilingi shilingi 250,000/-.

Maji ni ya kuchangia (nyumba mbili zinachangia mita moja)


Mawasiliano: 0719 055711/ 0787 377511

 

Attachments

  • 20230421_162632.jpg
    546.7 KB · Views: 21
  • 20230421_164302.jpg
    998.8 KB · Views: 16
  • 20230421_162539.jpg
    1.3 MB · Views: 19
Vipi hiyo ndogo ya room moja Bado ipo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…