House4Rent Nyumba zinapangishwa maeneo ya mliman city

doliphin

Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
16
Reaction score
4
*Nyumba zinapangishwa mwenge maeneo ya mliman city.*

Ni dakika 5 tu kutokea Mliman City.
1. Nyumba yenye vyumba viwili choo sittng room pamoja na jiko lake bei yake tsh 300,000/= kwa mwezi. (Zipo mbili)
2. Nyumba ya chumba kimoja na sebule jiko na sebule (zipo tatu) kila moja ni tsh 200,000/= kwa mwezi.

*NB. Nyumba zote zipo sehemu moja. Maji yapo masaa 24.,*

Ni dakika 5 tu kwenda mliman city.
Nyumba zote hazina malipo ya udalali.

Nyumba zote nitazfanyia marekebisho madogomadogo kama rang na kadhalika mara baada ya mteja kulipia.

Nyumba zote hazina maliopo ya udalali.

Nipigie *0755063076*
 
Wapi picha ya vyumba....
 
Nyumba nzuri sana sema tatizo hivo vidirisha ulivyoweka ni vidogo mno.

Kimjini mjini,
Utakuja sababishia wapangaji wako PUMU.
 
*Nyumba zinapangishwa mwenge maeneo ya mliman city.*

Ni dakika 5 tu kutokea Mliman City.
1. Nyumba yenye vyumba viwili choo sittng room pamoja na jiko lake bei yake tsh 300,000/= kwa mwezi. (Zipo mbili)
2. Nyumba ya chumba kimoja na sebule jiko na sebule (zipo tatu) kila moja ni tsh 200,000/= kwa mwezi.

*NB. Nyumba zote zipo sehemu moja. Maji yapo masaa 24.,*

Ni dakika 5 tu kwenda mliman city.
Nyumba zote hazina malipo ya udalali.

Nyumba zote nitazfanyia marekebisho madogomadogo kama rang na kadhalika mara baada ya mteja kulipia.

Nyumba zote hazina maliopo ya udalali.

Nipigie *0755063076*
Mi' nimeikubali tu hiyo nyumba ya upande wa kushoto isiyokuwa na paa hiyo,
ambayo kwa pembeni ina mzinga wa nyuki hiyo.
 
Hii nyumba ya pili ni mpya? Naona haina miaka mingi.

Hilo tenki la maji hapo nyuma ni la hizo nyumba au la jirani?

Nimependa tailizi za jikoni, safi sana.
 
Back
Top Bottom