House4Rent Nyumba zinapangishwa maeneo ya savei mwenge

House4Rent Nyumba zinapangishwa maeneo ya savei mwenge

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Rejea kichwa cha habar hapo juu.

Chumba sebule choo chake kipo vizur kina tiles bei yake 200,000 kwa mwezi.
Pia ipo kubwa vyumba viwili choo chake na sehemu ya jiko. Bei yake 300,000/- kwa mwezi. nyumba zote mbili savei ukitokea mliman city ni dk 6.hakuna fance. Magari yanaingia had mlangon kwako. Maji 24/7. hakuna dalali ukiwah unalipa unahamia. 0713401812
 
Nipo mbali na nyumba. Nyumba ni nzur.
 
Back
Top Bottom