Nyumba zinapangishwa Tabata kimanga


Uneweka na kodi kabisa ndugu yangu.
 

Tupe na bei anataka kw miezi mingapi na hapo penye red ni kwamba nyumba zote 2 wanatumia bafu na choo kimoja ama kila nyumba na bafu lake na choo chake lakini ni vya jumuia? na je viko ndani ama viko njee
 
swala la msingi ukituwekea bei hapo itakua imetulia, pia ukijibu swali la mshikaji hapo juu nayo pia itakua imetulia.
 
Mkuu una picha ya hizi nyumba (ndani na nje)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…