Mr chapu chapu
Member
- Sep 11, 2020
- 52
- 22
- Thread starter
-
- #61
Mmhhhhh!!!? Unaifananisha nyumba hakuna iliyopunguzwa bei hapo mkuuMimi mwenyewe sijaelewa maana nimeamka Leo naona milioni 8 zimepungua.
ngoja nione.
AhsanteHapo ujue faida yake kajiwekea milioni 15 kama dalali.
Alivopunguza hivi bei faida yake sasa hivi ni milioni 7 dalali kama dalali.
KMMK.
Mwenyewe mwenye nyumba hapo anataka milioni 15 tu.
Hapo ujue faida yake kajiwekea milioni 15 kama dalali.
Alivopunguza hivi bei faida yake sasa hivi ni milioni 7 dalali kama dalali.
KMMK.
Mwenyewe mwenye nyumba hapo anataka milioni 15 tu.
AiseeAisee
Njoo uivunje unaruhusiwa mkuuHii nyumba nataka kuivunja na vitz unaonaje dalali?
Kanunue kwake bossKuna dalali fb anaiyuza kwa milioni 17
Njoo ununue kiwanjaMe Ninayo 10