mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 844
IKO MAENEO GANI MIMI NAKAA HUKO NIIJUE ILIPO NIJE TUZUNGUMZE
Sawa dalaliIKO MAENEO GANI MIMI NAKAA HUKO NIIJUE ILIPO NIJE TUZUNGUMZE
kisungu karibu na mjumbe mgosi au ni maeneo yepi?Nyumba bado zipo wakuu
Kwenye hiyo 70m dalali Yake 30mSawa dalali
kisungu karibu na mjumbe mgosi au ni maeneo yepi?
Kwenye hiyo 70m dalali Yake 30m
Ndani kuna mapepo na majini