No ukishamaliza round about kwa aziz ally unakuwa kama unaelekea mbagala! Mbele kidogo ya wanapotaka kuweka kituo kipya cha daladala.Hii Kwa Aziz ally gani Mkuu? Kabla ya madafu maana huku ndio kwetu, halafu kila nikivuta picha naona bado sijapaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app