Wenye uzoefu na nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba la taifa NHC watufahamishe, je zina kiwango cha ubora wa kutamani kununua badala ya kujenga mwenyewe?
Nimejaribu kuangalia matangazo yao, picha za 3D kabla ya kujenga ni nzuri kweli, ila ukiangalia miradi iliyokamilika zile nyumba naona kama kuna upungufu.
Je kwa nini ktk picha zao huwa hawaoneshi ndani palivyo? Je kuna aliyewahi kuona ndani wanavyofanya finishing?