Nyumba

Nyumba

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Siku hizi nyumba ni sehemu ya fashion kama tu nguo. Tupia na wewe. huwa naota hii. Chini Kulia living room, kushoto study, Dining, jiko na 1bdr. juu 3bdrm. Sijui milioni ngapi.

Screen-Shot-2015-08-21-at-9.58.08-AM.png
 
More likely ntadondokea kwenye haya mabangalow. Hii style ya sikuizi ya kupaua kwa konakona na kupandisha bati juu sana sijaisoma..

162113931.jpg
 
Back
Top Bottom