Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
zote hizo ni takatakaWaliondoka CHADEMA sasa hivi wamerejea tena….. 🤣
Baadhi ya wanachama wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambao awali walikuwa CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo unyanyasaji dhidi ya wanawake, uongo na ahadi hewa ya kupewa
Msikilize vizuri Polepole mwana mboga mboga mwenzako....labda utafunguka!Chadema hizi siasa ni za 2015 to 2020.ninyi mnafanya leo.mko nyuma sana na muda
Cdm wafanye huo upuuzi wakati hata hela ya kuendesha ofisi hawana? Wangekuwa wanashiriki huu uchaguzi wa kipuuzi ungeweza kusema ni ili wapate wapiga kura. Kwa sasa wafanye hivyo ili wapate nini?Chadema hizi siasa ni za 2015 to 2020.ninyi mnafanya leo.mko nyuma sana na muda
Noreform no electionChadema hizi siasa ni za 2015 to 2020.ninyi mnafanya leo.mko nyuma sana na
Ni mjinga huyo. Ukweli ni kwamba CHAUMMA ni project iliyofeli mno mno. Samia na genge lake hawana akili na hawajui namna ya kufanya mambo kwa akili. Hata mradi wa Zitto na chama chake mwisho wake utakuwa mbaya sana. Nawahurumia sana wazenji wameingizwa kingi na ule upinzani wao wa kweli umeisha wote, wamebaki wapenda vyeo tu.Cdm wafanye huo upuuzi wakati hata hela ya kuendesha ofisi hawana? Wangekuwa wanashiriki huu uchaguzi wa kipuuzi ungeweza kusema ni ili wapate wapiga kura. Kwa sasa wafanye hivyo ili wapate nini?
Wote tunafahamu hapa JF yeyote anayepinga Chadema ni mpuuzi, hana akili, ni taka taka: acheni hizo, kila mtu ana mawazo na maoni yake. Huwezi pendwa na kila mtu kama Sukari na Huwezi chukiwa na wote kama maviNi mjinga huyo. Ukweli ni kwamba CHAUMMA ni project iliyofeli mno mno. Samia na genge lake hawana akili na hawajui namna ya kufanya mambo kwa akili. Hata mradi wa Zitto na chama chake mwisho wake utakuwa mbaya sana. Nawahurumia sana wazenji wameingizwa kingi na ule upinzani wao wa kweli umeisha wote, wamebaki wapenda vyeo tu.
Waliondoka CHADEMA sasa hivi wamerejea tena….. 🤣
Baadhi ya wanachama wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambao awali walikuwa CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo unyanyasaji dhidi ya wanawake, uongo na ahadi hewa ya kupewa
HahhaahWaliondoka CHADEMA sasa hivi wamerejea tena….. 🤣
Baadhi ya wanachama wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambao awali walikuwa CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo unyanyasaji dhidi ya wanawake, uongo na ahadi hewa ya kupewa
HahahaMsikilize vizuri Polepole mwana mboga mboga mwenzako....labda utafunguka!
NERNE-2025Noreform no election
Nyi wangese mna visukununu!.. fanyeni yenu ya nrne achaneni na wenzenuNi mjinga huyo. Ukweli ni kwamba CHAUMMA ni project iliyofeli mno mno. Samia na genge lake hawana akili na hawajui namna ya kufanya mambo kwa akili. Hata mradi wa Zitto na chama chake mwisho wake utakuwa mbaya sana. Nawahurumia sana wazenji wameingizwa kingi na ule upinzani wao wa kweli umeisha wote, wamebaki wapenda vyeo tu.