eeka mangi !!Vp hapo jimbo jirani la siha?
Wandugu, baada ya kuhakikisha ushindi mjini Arusha, leo tarehe 28 October, Mbowe atakuwa Jimboni kwake kurejesha taarifa ya kazi ya ukombozi aliyotumwa na wana Hai.
Ungependa kujua jambo gani toka kwake?
Kwa taarifa zaidi na picha nitaweka baadae.