Nyumbani kwao msanii Stamina ni wapi?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa
Mimi swali langu ni moja tu kwenu hivi kwao na huyu msanii Stamina kwao ni wapi
zaman alikuwa akijiita Moro town siku hizi kila wimbo anajiita na kutaja Mbeya
sasa basi kwao halisi ni wap Mbeya au Moro
 
nyimbo alizotaja mbeya ni aje mwenyewe wa young kiler na billnas na huu mpwa alioimba na kale kadada ninakokapenda
 
Uliyotoka jana.

Na aje mwenyewe. Au lile neno tunaliskia vibaya sisi wazee.

Nimemsikia leo mtangazaji fulani anasema anayetajwa ni producer wa nyimbo. Sikumsikia vizuri jina alilotaja ila linasound kama Mbeya
 
Nimemsikia leo mtangazaji fulani anasema anayetajwa ni producer wa nyimbo. Sikumsikia vizuri jina alilotaja ila linasound kama Mbeya
Oouh... nitafuatilia nijue
 
Atoke mbeya au atoke mo town zote ni tanzania.hakuna tatizo.
 
Reactions: y-n
nyimbo alizotaja mbeya ni aje mwenyewe wa young kiler na billnas na huu mpwa alioimba na kale kadada ninakokapenda
Kadada kepi mkuu tusije tukawa tuko pamoja niambie
 
Itakuwa morogoro, kama anabisha aje hapa aseme kwao ni wapi!!
 
Origin yakee sijuii, ila mimi nimemfundishamorogoro, bungo p/s, miaka ya 2001
 
Nimemsikia leo mtangazaji fulani anasema anayetajwa ni producer wa nyimbo. Sikumsikia vizuri jina alilotaja ila linasound kama Mbeya
Kumbe kuna producer wa kill-record's anaitwa bear. Ile sio mbeya.

Kibabu wa potini kaenda wapi siku hizi
 
Wasanii wengine wanamiliki tu instagram a/c naskia huyu kijana bado anakaa kwao na mchezaji wa ndondo chuo kikuu sokoine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…