majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 567
ha haaaaaaa, kingoni chenyewe cha ku-ungaunga. yaani nikiongea ni kama nafanya mtihani....... kupata sentensi ya maneno kumi pure ngoni lazima nifeli, maneno hayaji kabisa. ila naelewa kila kituah umenikumbusha mbali sana!ahahahahahhahahhaha
ha haaaaaaa, kingoni chenyewe cha ku-ungaunga. yaani nikiongea ni kama nafanya mtihani....... kupata sentensi ya maneno kumi pure ngoni lazima nifeli, maneno hayaji kabisa. ila naelewa kila kitu
nahisi ulijishangalia tu kwamba huyu ni mngoni au kaolewa na wangoni kwa hiyo kajifunza ili angalau aweze kusalimia wakwe zake, lol!yah na mimi ni hivo hivo kingoni nasikia vizuri tu!bibi yangu ndo alikuwa anatuongelesha kingoni akija hom!yani nimecheka ulivonijibu!kha!
ulivosema tu tutake radhi kwa yule nani sijui,nikajua huyu ameumizwa sana,kafedheheshwa sana na kuonewa sana kama mimi kwa post ya huyo jamaa eti kuwa wangoni wanapenda kuchungulia walikotoka!nikajua wa kunyumba huyu!nahisi ulijishangalia tu kwamba huyu ni mngoni au kaolewa na wangoni kwa hiyo kajifunza ili angalau aweze kusalimia wakwe zake, lol!
Muoe utaijua hiyo katerero na kazi yake.katerero? mh! ndo unamaanisha nini
si ndo nilipomwambia atutake radhi!ulivosema tu tutake radhi kwa yule nani sijui,nikajua huyu ameumizwa sana,kafedheheshwa sana na kuonewa sana kama mimi kwa post ya huyo jamaa eti kuwa wangoni wanapenda kuchungulia walikotoka!nikajua wa kunyumba huyu!
Wadau
nipeni ushauri nipo njia panda. ni kweli sababu waliyonipa kuwa wahaya wana tabia mbaya?
mi ni mngoni, nishauri!!
Wadau
nipeni ushauri nipo njia panda. ni kweli sababu waliyonipa kuwa wahaya wana tabia mbaya?
mi ni mngoni, nishauri!!
Wadau
nipeni ushauri nipo njia panda. ni kweli sababu waliyonipa kuwa wahaya wana tabia mbaya?
mi ni mngoni, nishauri!!
Kama huna jibu hadi sasa, basi mwenye tatizo ni wewe na wala siyo wazazi kama unavyodhani!Wadaunipeni ushauri nipo njia panda. ni kweli sababu waliyonipa kuwa wahaya wana tabia mbaya?mi ni mngoni, nishauri!!
stereotyping at its highest level,i bloody hate it.