Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

Mh hizi picha umetuibia master....si ulisema kuku midomo rangi nyekundu?afu mbona kama zimepigwa kiphoto shoot kabisa ni kama kuku wanaofugwa?
Mkuu aliyeweka picha sio mimi muulize aliyeweka.
 
Walokole walishindwa wewe utaweza?
Walokole hawana zana kama za waislamu.Na majini hayana heshima na yeyote isipokuwa mwenye kuhifadhi aya za Qur'an. Nyumba yoyote yenye kusomwa Qur'an hakuna shetani anayeingia.Kuna dua ambazo ukizisoma mbele ya jini huwa anapiga kelele na kama hakukimbia anakufa. Kwa maana hiyo siku akiingia sheikh katika huo msitu kwa makusudi ya kusitisha ushirikina itakuwa ndio mwisho wake.
 
Aina hii ya kuku inaitwa Ayam Cemani, ni watamu balaa. Ngoja niende nyumbanitu nikaombe mbegu kwa mizimu
 
Kuna maajabu sasa niulize swali je mizimu ni wachawi au mizimu ni miungu gani.
 
Mkuu nimeipenda sana hiyo escape plan yako. Iko very scientific.
Kuhusiana na huo msitu, mimi nilishafika huko na nilifanikiwa kuwaona hao kuku weusi.
Kitu ambacho nilifikiria baada ya kuwaona ni kuwa hao wanaweza kuwa kuku wenye feature tu zinazoendana na hayo mazingira kama ilivyo kwa wale vyura wa Kihansi (wapo Kihansi tu). Lakini pia kuna wanyama wanaitwa Komodo dragon, hawa wanyama wanapatikana visiwa vya Komodo tu, huko Indonesia. So sitashangaa sana kusikia hao kuku (specie) wanapatikana Nyumbanitu peke yake.
Kuhusiana na kondoo au ng'ombe weusi, kwa kweli sikuona kondoo wala ng'ombe wa rangi yoyote. Wala sikuona (mimi binafsi) pango zaidi ya mti wa matambiko.
Ni yaho tu.
 
Je ukipotea ukiwa hauna saa?
 
Wapemba ni nan kawaloga?
 
Hali ya hewa [emoji28][emoji28]
Elimu, Mila na desturi pia

Asili yao ni watafutaji hivyo elimu hawakuzingatia

Pili hawakuwa na utaratibu wa kutahiri mpaka walipoletewa kampeni ya shusha mkono sweta ambayo imesaidia sana

Ukiangalia mikoa ambayo haina utamaduni wa kutahiri maambukizi ni makubwa
 
Je ukipotea ukiwa hauna saa?
Hapo ni kujiongeza tu!

Unatumia teknolojia ya kienyeji kutambua majira ya saa. Mfano, kuna muda mijusi huwa inapurukushani nyingi ya kukimbizana kuumana hiyo imeisha dhibitishwa ina kuwa mida ya saa nne asubuhi. Mfano mwingine nikutumia kivuli chako ama cha kitu chochote kilichokaribu nawe. Kikiwa kirefu sana kuelekea jua linapozamia hapo ni saa moja ama moja kasorobo asubuhi lwa baadhi ya maeneo. Ukiwa umekikanyaga ama ni kifupi sana ujui ni saa sita adhuri kwa baadhi ya maeneo.

Ipo mifano mingi mkuu ya elimu ya kienyeji kutambua majira ya saa.
 
Je ukinyoosha tu jua linapotokea bila kupumzika had alaasir (saa9) ikukute upo mbali na uendelee na safar had jua lizame inaweza kuwa sababu ya kushindwa kutoka? Ni kwann kutembea lazma iwe mwsho ya saa 5 na baada ya saa 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…