Nyundo 3 ndani ya JF.

Hiv ban ndo kitu gan wadau?me nilitangulza kichwa kuingia humu na nna miaka miwil sasa,msaada tafadhal
 
Hongera mwaego, endelea na moyohuo huo, wengine tayari tunamakovu ya ban hata mwaka hatuna
 
Hongera , japo ni vyema ukapata japo BAN ili uweze kutoa ushuhuda wa upande huo

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Hongera kamanda, mwenzako hata miwili bado sijafikisha.
 
Hiv ban ndo kitu gan wadau?me nilitangulza kichwa kuingia humu na nna miaka miwil sasa,msaada tafadhal

Nitumie buku tano kwenye Eatel mane nakufundisha hatua tatu rahisi za kupata ban.. yaani haitapita nusu saa utakuwa umeipata hiyo ban..
 
Nitumie buku tano kwenye Eatel mane nakufundisha hatua tatu rahisi za kupata ban.. yaani haitapita nusu saa utakuwa umeipata hiyo ban..

hahaha! Mi mwenyewe cjui inakujaje natamani kuiona loh!!
 
Jitahidi kuja na kule kwenye siasa maana kule ban ni sehemu ya game...hongera sana mpwa miaka 3 si haba ingawa wengine tunaitafuta 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…