Nyundo kubwa inaweza kukuokoa moto ukiwaka ndani ya nyumba

Nyundo kubwa inaweza kukuokoa moto ukiwaka ndani ya nyumba

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Nilimsikiliza mtaalamu mmoja wa masuala ya uokozi, alisema kwamba, ni vyema ukakaa chumbani na nyundo angalau ya kilo 15 hivi.

Ili moto unapotokea kwa mfano, umeanzia jikoni, basi unaanza kupiga nyundo zako kadhaa chumbani kwenye ukuta karibu na dirisha, ni rahisi ukuta kubomoka, then unatoka nje.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli "fatuma" ni nyundo maridhawa kabisa kuvunja ukuta kirahisi sana
 
Nilimsikiliza mtaalamu mmoja wa masuala ya uokozi, alisema kwamba, ni vyema ukakaa chumbani na nyundo angalau ya kilo 15 hivi, ili moto unapotokea kwa mfano, umeanzia jikoni, basi unaanza kupiga nyundo zako kadhaa chumbani kwenye ukuta karibu na dirisha, ni rahisi ukuta kubomoka, then unatoka nje.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Pia kwa kujazia pamoja na nyundo hakikisha una nondo ndani kwa ajili ya usalama wako.
 
Ni ushauri mzuri; ila ni hatari kama wakaaji wa ndani huwa na hasira za haraka haraka
 
Back
Top Bottom