Pia kwa kujazia pamoja na nyundo hakikisha una nondo ndani kwa ajili ya usalama wako.Nilimsikiliza mtaalamu mmoja wa masuala ya uokozi, alisema kwamba, ni vyema ukakaa chumbani na nyundo angalau ya kilo 15 hivi, ili moto unapotokea kwa mfano, umeanzia jikoni, basi unaanza kupiga nyundo zako kadhaa chumbani kwenye ukuta karibu na dirisha, ni rahisi ukuta kubomoka, then unatoka nje.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
ila kwa hawa wanawake wetu anaweza kukufumua nayo 🤣🤣🤣🤣Pia kwa kujazia pamoja na nyundo hakikisha una nondo ndani kwa ajili ya usalama wako.
Hata mwanaume anaweza kumvua nayo mwanamke,yote bila bila tuila kwa hawa wanawake wetu anaweza kukufumua nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaiweka seem ambayo hawezi kuikutia (kwa haraka)ila kwa hawa wanawake wetu anaweza kukufumua nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Master bedroom ni muhimu kuwa na mlango wa dharula hapo dirishani. Grill inatengenezwa ili iweze funguka. Dirisha la chooni ndio linafaa kutengeza hii kitu.Asante sana mkuu. Hizi grills kila kona nyundo ni muhimu