Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hizi rufaa uki mess up inahama kutoka katika maumivu ya kichwa kuwa maumivu ya mwili mzimaNyundo na wenzake wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka kwa kundi huku Mahakama ikiondoa kosa la kulawiti kwa kundi kwa sababu kifungu kilichopo kwenye sheria hakitambui kosa la kubaka kundi badala yake kinatambua mtu mmoja kulawiti.
Ikumbukwe kuwa warufani hao walishtakiwa kwa makosa mawili ikiwemo kubaka kwa kundi na kulawiti kwa kundi ambapo leo hii Jaji wa Mahakama Kuu Amir Mruma alisema Mahakama imefunga mikono lazima iwahukumu kifungo cha maisha kwani Mahakama ndio muamuzi wa mwisho katika kuangalia haki za watu.
View attachment 3491483
HatudanganyikiMnapunguza moto wa maandamano 😂😂😂
Maandamano gani? Au kuandamana mtandaoni kama kawaida yenu?Mnapunguza moto wa maandamano 😂😂😂
Wasted Life maamaee, ugali ulivyomtamu na mbunye.Nyundo na wenzake wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka kwa kundi huku Mahakama ikiondoa kosa la kulawiti kwa kundi kwa sababu kifungu kilichopo kwenye sheria hakitambui kosa la kubaka kundi badala yake kinatambua mtu mmoja kulawiti.
Ikumbukwe kuwa warufani hao walishtakiwa kwa makosa mawili ikiwemo kubaka kwa kundi na kulawiti kwa kundi ambapo leo hii Jaji wa Mahakama Kuu Amir Mruma alisema Mahakama imefunga mikono lazima iwahukumu kifungo cha maisha kwani Mahakama ndio muamuzi wa mwisho katika kuangalia haki za watu.
View attachment 3491483
Siku ikifika halafu mambo yakawa si mambo, usije kulia lia humu. Wakati Bosi wako anakimbilia kwa Wajomba zake, sijui wewe utakimbilia kwa nani ili kuokoa maisha yako.Maandamano gani? Au kuandamana mtandaoni kama kawaida yenu?
Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 💔 😭Wasted Life maamaee, ugali ulivyomtamu na mbunye.
So sad!
Mungu mwenyewe aliagiza walioua kwa makusudi wauawe. Jino kwa jinoUtakuwa huna tofauti nao mkuu
Yakweli haya? Mbona.....Nyundo na wenzake wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka kwa kundi huku Mahakama ikiondoa kosa la kulawiti kwa kundi kwa sababu kifungu kilichopo kwenye sheria hakitambui kosa la kubaka kundi badala yake kinatambua mtu mmoja kulawiti.
Ikumbukwe kuwa warufani hao walishtakiwa kwa makosa mawili ikiwemo kubaka kwa kundi na kulawiti kwa kundi ambapo leo hii Jaji wa Mahakama Kuu Amir Mruma alisema Mahakama imefunga mikono lazima iwahukumu kifungo cha maisha kwani Mahakama ndio muamuzi wa mwisho katika kuangalia haki za watu.
View attachment 3491483
Kwa hiyo hiyo habari umeiamini?Unaenda jela maisha yako yote kisa K?
Hawa wajinga bora wakubali kunyongwa tu majuto na uchungu km vijana watakaopita ni mkubwa mno!
Kizazi Cha kuandamana Tz Bado sanaMaandamano gani? Au kuandamana mtandaoni kama kawaida yenu?