Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 82
- 227
Unajua maana ya 'kukataa rufaa'?Kesi Maarufu ya Binti wa yombo iliyowakuta na hatia Vijana watano Nyundo na Wenzie inatarajiwa kuanzia kusikilizwa siku ya kesho katika kituo jumuishi cha kutoa haki jijini Dododma
Nyundo na wenzie walihumumiwa kifungo cha maisha jera washitakiwa hao ni Clinton Damas (Nyundo), Praygod Mushi, Nickson Jackson (Machuche), na Amin Lema (Kindamba)
Soma Pia: Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Kesi hii ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 ilisikilizwa kwa faragha mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Zabibu Mpangule. Upande wa Jamhuri uliwasilisha mashahidi 18 na vielelezo 12 kuthibitisha mashtaka dhidi ya washtakiwa.
wamekataaa rufa kupinga hukumu iliyotolewa na dhidi kesho kesi inaanza
View attachment 3353863
Rufaa inasikilizwa na watu watatu wenye akili na maadili.Utashangaa Hawa vibaka wanaachiwa huru halafu mpigania haki yupo ndani
Wataachiwa huru kuja kuongeza nguvuKesi Maarufu ya Binti wa yombo iliyowakuta na hatia Vijana watano Nyundo na Wenzie inatarajiwa kuanzia kusikilizwa siku ya kesho katika kituo jumuishi cha kutoa haki jijini Dododma
Nyundo na wenzie walihumumiwa kifungo cha maisha jera washitakiwa hao ni Clinton Damas (Nyundo), Praygod Mushi, Nickson Jackson (Machuche), na Amin Lema (Kindamba)
Soma Pia: Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Kesi hii ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 ilisikilizwa kwa faragha mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Zabibu Mpangule. Upande wa Jamhuri uliwasilisha mashahidi 18 na vielelezo 12 kuthibitisha mashtaka dhidi ya washtakiwa.
wamekataaa rufa kupinga hukumu iliyotolewa na dhidi kesho kesi inaanza
View attachment 3353863
Sijui umewaza nini kusema waje kuongeza nguvu,ila ni kama kweli vileWataachiwa huru kuja kuongeza nguvu
Kwenye utekaji, utesaji, ukamataji holela, ubakaji, ufiraji na hata uuaji.Sijui umewaza nini kusema waje kuongeza nguvu,ila ni kama kweli vile
This one📌Wataachiwa huru kuja kuongeza nguvu
Wanatoka ..kesi ile ilipelekwa kisiasa.Utashangaa Hawa vibaka wanaachiwa huru halafu mpigania haki yupo ndani
Wanatoka.Kifungo stahili yao
Irushwe liveKesi Maarufu ya Binti wa yombo iliyowakuta na hatia Vijana watano Nyundo na Wenzie inatarajiwa kuanzia kusikilizwa siku ya kesho katika kituo jumuishi cha kutoa haki jijini Dododma
Nyundo na wenzie walihumumiwa kifungo cha maisha jera washitakiwa hao ni Clinton Damas (Nyundo), Praygod Mushi, Nickson Jackson (Machuche), na Amin Lema (Kindamba)
Soma Pia: Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Kesi hii ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 ilisikilizwa kwa faragha mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Zabibu Mpangule. Upande wa Jamhuri uliwasilisha mashahidi 18 na vielelezo 12 kuthibitisha mashtaka dhidi ya washtakiwa.
wamekataaa rufa kupinga hukumu iliyotolewa na dhidi kesho kesi inaanza
View attachment 3353863
Hii issues ilinipita.Nyundo