Nyundo ya baba

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
kijana anakuja mbio kwa mama yake huku analia.mama anamuuliza mwanawe nini kimetokea? kijana amwambia mama kuwa baba yake amejigonga na nyundo kidole.mama naye anamjibu hupaswi kulia, ungecheka...kijana anazidi kulia na kumwambia mama yake hivyo ndivyo nilivyofanya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…