Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kama huna kitu ufanyeje?Aya sawa nyundo tumeiona tuletee na tindo sasa
Kuomba sio dhambi kama hauna inabidi uombe tuKama huna kitu ufanyeje?
Unahisi umasikini ni sifa?Kama huna kitu ufanyeje?
Ni sifa ndio,kwani utajiri sio sifa!Unahisi umasikini ni sifa?
Ishu sio kuomba, kuomba sio dhambi kama unawatu wakaribu ambao wanaweza kukusaidia omba tu msaada ila angalia namna gani uchomoke kwenye ilo janga...