Nyungu ziwe kivutio cha utalii

Nyungu ziwe kivutio cha utalii

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato. Hahahahahaa itapendeza.
 
naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi keshaagiza wapewe hukusikikiza hotuba? Sisi hatuna uchoyo Wa kuficha dawa ameagiza wapewe
 
Upo sahihi kwa hilo kwan ata nchi za asia asia wanatumia tamadun zao za matibabu kama utarii pia. Hii itaongeza pato la taifa na kutoa ajira kwa watakao kuwa wanaisimamia

Ila tahadhari itatakiwa ichukuliwe
 
Lakini hii kitu mbona kama hata wao wanafanya, labda tofauti ni jina, viungo vinavyo tumika na malengo.
 
Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato. Hahahahahaa itapendeza.
Si ajabu tukawavutia wengi maana huko kwao siyo rahisi kupata majani ya kujifukiza.
 
NYUNGU haikuanzia Afrika nyie mnadanganywa Some vitabu vya History..Kwenye MEDICINE HISTORY Mafua hayakuwepo Asia na Afrika bali Ulaya na sehemu za Amerika.Wakati wa vita vya kwanza vya Dunia ugonjwa wa Mafua ulitoke na kusumbua sana Wanajeshi na uko Majeshini wakawa wanapigishwa 'Nyungu sana na baada ya vita inasadikika mafua yalianza kiushambulia Afrika na Asia. Wanajeshi waliorudi toka vitani wengi ndo walileta hiyo elimu ya nyungu Tanganyika aswa sehemu za Mbeya na Bukoba maana ndo sehemu kubwa zilizopata huo ugonjwa. Tofauti tu Wafrika wengi waliongezea utaalam wao kuweka miti tofauti kutokana na Georgraphia zao.
 
Lakini hii kitu mbona kama hata wao wanafanya, labda tofauti ni jina, viungo vinavyo tumika na malengo.
tOFAUTI NI KUBWA SANA WAO HAWANA MITI YENYE VINASABA VYA KUTIBU MAGONJWA, YA KWETU NDIYO DAWA YA MAGONJWA KIBAO, IKIWEMO MALARIA, KIFUA, N.K
 
NYUNGU haikuanzia Afrika nyie mnadanganywa Some vitabu vya History..Kwenye MEDICINE HISTORY Mafua hayakuwepo Asia na Afrika bali Ulaya na sehemu za Amerika.Wakati wa vita vya kwanza vya Dunia ugonjwa wa Mafua ulitoke na kusumbua sana Wanajeshi na uko Majeshini wakawa wanapigishwa 'Nyungu sana na baada ya vita inasadikika mafua yalianza kiushambulia Afrika na Asia. Wanajeshi waliorudi toka vitani wengi ndo walileta hiyo elimu ya nyungu Tanganyika aswa sehemu za Mbeya na Bukoba maana ndo sehemu kubwa zilizopata huo ugonjwa. Tofauti tu Wafrika wengi waliongezea utaalam wao kuweka miti tofauti kutokana na Georgraphia zao.

KITAKACHOWAVUTIA NI HIYO TOFAUTI ULIYOITAJA, SEMA WABONGO MMEJALIWA KUWA WAPINGA KILA KITU,
 
Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato. Hahahahahaa itapendeza.
Kwa kuongezea tu, siku ya kuondoka wapewe zawadi ya hamper ya ingredients za nyungu kama ni special gift ya Rais wetu mpendwa kwa niaba ya Watanzania. Itapendeza.
 
tOFAUTI NI KUBWA SANA WAO HAWANA MITI YENYE VINASABA VYA KUTIBU MAGONJWA, YA KWETU NDIYO DAWA YA MAGONJWA KIBAO, IKIWEMO MALARIA, KIFUA, N.K
Basi si tuwape tu hiyo miti wakajifukize wenyewe maana nyungu wanaijua.
 
Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato. Hahahahahaa itapendeza.
hiyo nyungu itakuwa ni kivutio endapo tawimu zitawekwa wazi,
wameumwa wangapi?
wamepona wangapi?
wamekufa wangapi?
nyungu imesaidia wangapi?
 
Back
Top Bottom