technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
naunga mkono hojaWazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato. Hahahahahaa itapendeza.
Si ajabu tukawavutia wengi maana huko kwao siyo rahisi kupata majani ya kujifukiza.Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato. Hahahahahaa itapendeza.
tOFAUTI NI KUBWA SANA WAO HAWANA MITI YENYE VINASABA VYA KUTIBU MAGONJWA, YA KWETU NDIYO DAWA YA MAGONJWA KIBAO, IKIWEMO MALARIA, KIFUA, N.KLakini hii kitu mbona kama hata wao wanafanya, labda tofauti ni jina, viungo vinavyo tumika na malengo.
NYUNGU haikuanzia Afrika nyie mnadanganywa Some vitabu vya History..Kwenye MEDICINE HISTORY Mafua hayakuwepo Asia na Afrika bali Ulaya na sehemu za Amerika.Wakati wa vita vya kwanza vya Dunia ugonjwa wa Mafua ulitoke na kusumbua sana Wanajeshi na uko Majeshini wakawa wanapigishwa 'Nyungu sana na baada ya vita inasadikika mafua yalianza kiushambulia Afrika na Asia. Wanajeshi waliorudi toka vitani wengi ndo walileta hiyo elimu ya nyungu Tanganyika aswa sehemu za Mbeya na Bukoba maana ndo sehemu kubwa zilizopata huo ugonjwa. Tofauti tu Wafrika wengi waliongezea utaalam wao kuweka miti tofauti kutokana na Georgraphia zao.
Kwa kuongezea tu, siku ya kuondoka wapewe zawadi ya hamper ya ingredients za nyungu kama ni special gift ya Rais wetu mpendwa kwa niaba ya Watanzania. Itapendeza.Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato. Hahahahahaa itapendeza.
Basi si tuwape tu hiyo miti wakajifukize wenyewe maana nyungu wanaijua.tOFAUTI NI KUBWA SANA WAO HAWANA MITI YENYE VINASABA VYA KUTIBU MAGONJWA, YA KWETU NDIYO DAWA YA MAGONJWA KIBAO, IKIWEMO MALARIA, KIFUA, N.K
hiyo nyungu itakuwa ni kivutio endapo tawimu zitawekwa wazi,Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato. Hahahahahaa itapendeza.