magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Kwa mtazamo wangu naona hizi ndio nyuzi 10 maarufu zaidi hapa jukwaani.
KIMASIHARA
www.jamiiforums.com
KIHASIBU
www.jamiiforums.com
WAKUBET
www.jamiiforums.com
WAKUPEANA LIKES
www.jamiiforums.com
USIKU WA MANANE
www.jamiiforums.com
TAKWIMU ZA KIBU D VS MAYELE
www.jamiiforums.com
VITUKO MTANDAONI
BEN SAANANE
www.jamiiforums.com
JF SELFIKA(nasikia mods wameupiga chini)
www.jamiiforums.com
DAR ES SAALAM VS KENYA
www.jamiiforums.com
WAZIRI MKUU
www.jamiiforums.com
ANGALIZO : Nyuzi maarufu, Sio nyuzi zenye likes na replies nyingi.
KIMASIHARA
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
KIHASIBU
Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija. Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama...
WAKUBET
Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...
WAKUPEANA LIKES
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
USIKU WA MANANE
JamiiForums Usiku wa manane
Kuna lijamaa hapa limelala linakoroma kweli mpaka limepelekea/sababisha nishindwe kulala/kupata usingizi. Linakoroma kweli Unalala na lijamaa wewe jinsia gani mkuu? Umenipa mashaka ya gafla Kwa nini akorome kama sio amemaliza kufanya kazi fulani hivi ile ya usiku Teh
TAKWIMU ZA KIBU D VS MAYELE
Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu
umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
VITUKO MTANDAONI
BEN SAANANE
Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali
Hivi Ben hatarudi tena?? Kijana mwenye miaka hiyo unaweza kumpatia adhabu kubwa namna hiyo? I dont want to imagine that Ben won't be arround again...kwamba he is no more? !!! .....nooooo!!!!!
JF SELFIKA(nasikia mods wameupiga chini)
Selfika na JF: Snap it. Show it
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KakaaaaaaaaUmenicheka sana mimi jamani[emoji2307]
DAR ES SAALAM VS KENYA
Battle: Dar es Salaam vs Nairobi
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?
kweli jpm,ni zaidi ya master.naona bavicha wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha. Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti. Hata wewe hujui alikuwa kwa wiki 2 sasa
ANGALIZO : Nyuzi maarufu, Sio nyuzi zenye likes na replies nyingi.