NESI ALIENIANGALIA ANASEMA SIJASHONWA VIZURI KWA NDANI NA NJE
Nimejifungua kwa njia ya kawaida na niliongezewa njia mtoto wa kwanza.
je ni tatizo kubwa sana la kupelekwa thieter na kupigwa nusu kaputi?, maana naogopa sana je hawatanishona kama mara ya kwanza nilivyoshonwa nilivojifungua?
Nimejifungulia hosp kubwa ya serikali Iringa naogopa sana au kuna njia nyingine ya sehemu za siri kurudi katika hali yake yaani sehemu ambayo haikushonwa kujifunga?