Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

Mkuu huu uzi upo jukwaa la tech. Kwahiyo sidhani kama kuna mtu anapotea au anategemea kukuta kitu tofauti na maswala ya techs.
nilipofungua ulikua kwenye new posts, natumia jamiiforums app, haionyeshi uzi upo jukwaa gani
 
wakuu nna shida na codes za kuicrack IDM, Inaniambia zimebaki siku nane,nadhan kuna mtu alitaka kuiupdate
 
Nimekukubali mkuu wazo lako la chuo kikuu kabisaaaa
 
Safi sana mkuu
 
Wakuu,

'Kulikuwaga' na thread moja hivi ya kupakua softwares mbalimbali. Ilishawahi nisaidia sana (Nilipakua softare moja hivi ya Business Planning ya Palo Alto). Jana kutwa nzima nimeshinda naitafuta tena hata sijaipata. Wenyewe wanaiuza GBP 299.99 ilhali hapa 'niliipataga wa bure tu'.

Hiyo thread ingekuwa kwenye hizo stickes ingekuwa poa sana.


Tafakari.
 
Habari zenu wana JF mliomo humu,kwa heshima na adabu naombeni msaada katika kueleweshwa kuhusiana na mambo yafuatayo:
-Hv kati ya Blog,Website na Application ni kipi chenye ushawishi mkubwa zaidi kwa wasomaji endapo vitakuwa na content sawa??
-Ni kipi hasa kina uwezo wa kubeba content nyingi zaidi kuliko kingine??
Nikihitaji kufanyia biashara ya matangazo kupitia mitandao ya matangazo km Google AdSense na mingineyo ni kipi hasa kinaweza kuwa na return nzuri zaidi km vyote vitakuwa na content sawa??
-Je bei za hivyo vitu vitatu(3)yaani Blog,Website na Application zipoje kiuhalisia kwa anayekutengenezea hasa hasa akiwa expert na sio mwanafunzi??
**Baada ya kutengenezewa kuna process yoyote ya kufuata ili uwezo kuwa mmiliki halali na usiibiwe content zako na wajanja maana nimesikia mara nyingi kuhusu hiki kitu KUNUNUA DOMAIN but sijajua nn maana yake**
J**e baada ya kutengenezewa Blog,Web au App ntasaidiwa kufeed na content za information nazotaka kupost au nafundishwa namna ya kufeed mwenyewe??**
Mwisho ningependa kupewa tahadhari yoyote kuhusiana na Blog,Web au App ntakayokuwa nimetengenezewa ili nisilizwe pindi ambapo itakuwa na mvuto hivyo kupata viewers wengi.Tafadhali naombeni msaada kwa maswali niliyouliza na pia kama kuna nyongeza kwa kile ambacho sijauliza basi mwenye kujua namkaribisha.
Akhsanteni.
 
Wakuu mwenye uwezo wa kucrack icloud ya iphone S aniPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…