Patrick2000
Member
- May 29, 2021
- 10
- 15
Wadau naomba kujua nawezaje kukomesha kipilipili au kama kuna mafuta mazuri ya nywele ni yapi msaada tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta haya mafutaWadau naomba kujua nawezaje kukomesha kipilipili au kama kuna mafuta mazuri ya nywele ni yapi msaada tafadhali
Mkuu Nina tatizo Kama la jamaa,Hali hii imepelekea Mimi kukaa na upaa muda wote,maana nywele zikifikisha wiki moja tu,tayari zishakunjamana,je haya mafuta yatazifanya zilainikeTafuta haya mafuta
View attachment 1864113
Yep!Mkuu Nina tatizo Kama la jamaa,je haya mafuta yatazifanya zilainike
Acha habari zako,Kama mungu alituuamba na kucha kwanini tunazikata zikirefuka,au kwanini tuna vaa nguo Wakati tulizaliwa watupu,huoni kuwa tunamfundisha Mungu?Unajua kwa nini mungu alikuumba a kipilipili? Af we unataka uzibadili
Mkuu nimeyapata yale mafuta uloelekeza humu,je naweza paka hata kwa nywele fupi au Hadi ziwe ndefu?,je hayarainishi nywele maana Mimi ni me,nisijeonekana muhunni mbele ya wanafunzi wanguYep!
Safi. Hayana shida hata kwa nywele fupi. Paka uoshe nywele baada ya dk 15. Tumia kwa wiki mara moja.Mkuu nimeyapata yale mafuta uloelekeza humu,je naweza paka hata kwa nywele fupi au Hadi ziwe ndefu?,je hayarainishi nywele maana Mimi ni me,nisijeonekana muhunni mbele ya wanafunzi wangu
Mkuu napenda nywele zangu ziwe ndefu na nyeusi,Haya mafuta yatanifaa?Safi. Hayana shida hata kwa nywele fupi. Paka uoshe nywele baada ya dk 15. Tumia kwa wiki mara moja.
Mmh! Kuhusu kuwa nyeusi, labda upake super black 😀😀😀Mkuu napenda nywele zangu ziwe ndefu na nyeusi,Haya mafuta yatanifaa?
Wew Mungu alikuumba na Nguo?Unajua kwa nini mungu alikuumba a kipilipili? Af we unataka uzibadili