Nywele kipilipili zanitesa

Patrick2000

Member
Joined
May 29, 2021
Posts
10
Reaction score
15
Wadau naomba kujua nawezaje kukomesha kipilipili au kama kuna mafuta mazuri ya nywele ni yapi msaada tafadhali
 
Unajua kwa nini mungu alikuumba a kipilipili? Af we unataka uzibadili
 
Unajua kwa nini mungu alikuumba a kipilipili? Af we unataka uzibadili
Acha habari zako,Kama mungu alituuamba na kucha kwanini tunazikata zikirefuka,au kwanini tuna vaa nguo Wakati tulizaliwa watupu,huoni kuwa tunamfundisha Mungu?

Acha kuwa mtumwa wa Imani,jaribu kuwa unawaza nje ya box ,utafaidika Sana.
 
Mkuu nimeyapata yale mafuta uloelekeza humu,je naweza paka hata kwa nywele fupi au Hadi ziwe ndefu?,je hayarainishi nywele maana Mimi ni me,nisijeonekana muhunni mbele ya wanafunzi wangu
Safi. Hayana shida hata kwa nywele fupi. Paka uoshe nywele baada ya dk 15. Tumia kwa wiki mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…