Habari wakuu?
Nina changamoto ya nywele zangu kila zinapokuwa na kufikisha urefu wa karibia sentimita 2 hivi huwa zinabadilika rangi na kuanza kuwa nyekundu au pengine ule weusi wa nywele kufifia.
Sasa wakuu ni vipi naweza kuzifanya nywele zangu zikaendelea kuwa na rangi yake nyeusi ya asili ukiachana na kupaka "super black"
Uzi Tayari.