Asanteee...afanye hivo atuletee mrejeshoMwanakulipata Alisema hivi
“ kuliko kupaka super black kwenye nywele kwa lengo la kufanya nywele ziwe nyeusi
Ni heri uwe unaziosha kwa sabuni ya Unga alafu ukishamaliza unazipaka mafuta ya nazi (minara)..ukifanya hivi mara kadhaa utaona mabadiliko..”
Tatizo unaishi kwenye udongo mwekunduHabari wakuu?
Nina changamoto ya nywele zangu kila zinapokuwa na kufikisha urefu wa karibia sentimita 2 hivi huwa zinavadilika rangi na kuanza kuwa nyekundu au pengine ule weusi wa nywele kufifia.
Sasa wakuu ni vipi naweza kuzifanya nywele zangu zikaendelea kuwa na rangi yake nyeusi ya asili ukiachana na kupaka "super black"
Uzi Tayari.
Ilikufanya niniPaka super black afu uone kitakachokukuta. Sina hamu Mie.....
Nini kilikukuta mkuu, tuelimishane bhasi ili kama kuna madhara tujue kwa faida ya wengiPaka super black afu uone kitakachokukuta. Sina hamu Mie.....
Nilikuwa kibibi kwa siku moja [emoji2], asubuh nikakimbilia [emoji125][emoji125] saluni kunyoa kiparaNini kilikukuta mkuu, tuelimishane bhasi ili kama kuna madhara tujue kwa faida ya wengi
Nilikuwa kibibi kwa siku moja, Ila baada ya kunyoa kipara, zikarudi nyeusiii Hadi raha. Nilikoma, nikasema mimi na hayo madude tena km paka na panya. Maana ata ningesema niendelee kuweka nisizinyoe nywele, bs ningekuwa mtumwa wa super black. Roho iliniuma mn nywele zangu zilikuwa ndefu, nikifikilia uchungu wa kutonea [emoji23][emoji23][emoji23] sina hamuIlikufanya nini
Bora hao wanaopaka zinakuwa na mvuto mkuu lakini sio zile nyekundu na udongo wa kuzaliwa nazo huwa Zina sura mbaya, ata mvuto hazina.Chukulia ni stail tu, mbona kuna wanaopaka rangi nyekundu au ya udongo!
Amla oil unaweza kunionesha sample?Ni upungufu wa virutubisho, nitakupa hii fomula lakini mabadiliko huwezi kuyapata kwa siku 7 inafaa utumie kwa muda. Tafuta amla oil changanya na black castor oil yawe ndiyo mafuta yako ya nywele.