Nywele kutoka saana msaada

Nywele kutoka saana msaada

naisweet

Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
47
Reaction score
9
Habari zenu wana jf nyote natumai.wazima wa afya ila nataka mnisaidie sababu gan inayofanya mtu nywele kutoka sana ukiosha utaona nyng zinatoka naomba.ushirikiano.wenu kwa.hili
 
Zinatoka yaan hata nkiosha ntaona chin tele na ukizishika hv kma unavuta zinatoka
 
Back
Top Bottom