naisweet Member Joined Mar 26, 2013 Posts 47 Reaction score 9 Jun 14, 2013 #1 Habari zenu wana jf nyote natumai.wazima wa afya ila nataka mnisaidie sababu gan inayofanya mtu nywele kutoka sana ukiosha utaona nyng zinatoka naomba.ushirikiano.wenu kwa.hili
Habari zenu wana jf nyote natumai.wazima wa afya ila nataka mnisaidie sababu gan inayofanya mtu nywele kutoka sana ukiosha utaona nyng zinatoka naomba.ushirikiano.wenu kwa.hili
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Jun 15, 2013 #2 Unamaanisha nywele zina katika ama?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jun 15, 2013 #3 Mkuu MziziMkavu njoo umsaidie huyu dada. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
naisweet Member Joined Mar 26, 2013 Posts 47 Reaction score 9 Jun 15, 2013 Thread starter #4 Zinatoka yaan hata nkiosha ntaona chin tele na ukizishika hv kma unavuta zinatoka