Nywele ndefu zinazovaliwa na wanawake weusi zilitolewa sadaka kwa miungu huko nchini India

Nywele ndefu zinazovaliwa na wanawake weusi zilitolewa sadaka kwa miungu huko nchini India

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
Kazi kwenu warembo wetu.

Pia huuzwa na wanawake maskini nchi za India, Thailand, Myanmar, etc.

Two facts:

1. Sadaka za miungu
2. Originate from poor women

Endeleeni kupendeza sana wanetu
 
Tatizo binadamu wa siku hizi wabishi sana...
 
Nyuma ya kapeti mawigi ni nywele za maiti wa Kike toka kuzimu.

Note;

Si kila king'aacho duniani ni dhahabu...[emoji2960]
 
Pia huuzwa na wanawake maskini nchi za India, Thailand, Myanmar, etc.

Two facts:

1. Sadaka za miungu
2. Originate from poor women

Endeleeni kupendeza sana wanetu
Basi ndio maana wanawake wa kibongo wakishavaa hayo manywele wanakua wana naomba omba hela hovyo.
 
Back
Top Bottom