Kufuga hizi nywele yataka moyo kwelikweli. Zinakera na kuujaza moyo hasira unakuwa mtu wa stress pasipokuwa sababu!
Kibaya zaidi huwezi kugundua kwamba ndizo zinazokupa stress hadi siku ukinyoa ndipo unajua.
Unakuta mtu kakunja ndita usoni na ukimgusa kidogo tu anawaka, moja ya matatizo ni hizi nywele zina mateso acha kabisa.
Kwa wanawake ndo usiseme, mzigo unajaa utadhani rundo la nyuki. Wanaume tunapembua papuchi yaani mtu hadi unatamani utumie chanuo.
Hizi nywele kwakweli zina mateso bila chuki.