Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeona kwa wazee na vijana na wala sio wewe unaulizia matibabu yake ya nini? Jibu kwanza.
masikioni na puani unanyoaje???tiba ya nywele si kuzinyoa!!
acha hizo, mimi mjomba wangu anazo masikioni, na kuna mtu alikuja ofisini nikaziona masikioni za kutosha, that's why nauliza, kwani kuuliza swali lazima likuhusu wewe mwenyewe!!kama umeona kwa wazee na vijana na wala sio wewe unaulizia matibabu yake ya nini? Jibu kwanza.
acha hizo, mimi mjomba wangu anazo masikioni, na kuna mtu alikuja ofisini nikaziona masikioni za kutosha, that's why nauliza, kwani kuuliza swali lazima likuhusu wewe mwenyewe!!
Hujajibu swali bado maana nimekuuliza hivyo kwa sababu kuna mamia kwa mamia wenye hizo nywele za masikioni na kuhusu puani karibu kila mwanaume anazo ila zinatofautiana urefu je wote watakua wanakukera? Kama vipi wakamate uwanyofoe.
masikioni na puani unanyoaje???
mhhhhhhhh makubwa!!!!!!!!!!!Kwa kutumia mkasi!!
tiba ni kujiua tu hazikwepeki au usizaliwe tu ndio njia safiNimeona watu wengi wazee kwa vijana wa rika fulani wakiwa wametoka ywele masikioni na puani yaani ndefu sana kiasi kwamba zinakera hata kwa mtazamaji, sasa swali nywele hizi zinasababiswa na uzee au ni ugonjwa flani, na tiba yake ni nini?