Mm cfugagi mkuu; ufugaji unawenyeweHebu nyoa ulete mrejesho
Hahah Mi sina Mdau!!! Ingawa nasikia kuna watu wanafuga ikitokea ukaona nazan waweza fikiri kaficha kichwa cha mtoto.eee nyoa kwanza wewe
Hebu fuga halafu, uone inakuwaje, then nyoa utuletee mrejesho.Mm cfugagi mkuu; ufugaji unawenyewe
Vp mkuu mbona mmmmhmhhhhh
Asantee Kwa msaada huoWacha nifuge rasta nione wakuu. Nitaleta mrejesho
Kuna watu wengine tunakutana nao wamenuna hatari kumbe yaweza ikawa tatizo hili eehHahahahaah zivu huwa nanyoa mara nyingi sana, huenda Ndio maana nina furaha kila wakati
Hebu nyoa ulete mrejesho
Yeye hana stressHebu nyoa ulete mrejesho
Huyu anataka kujua nani anafuga nywele kule, cjui ana ajenda gan ya siriYeye hana stress
Kweli kabisa mkuuu.Ukiwa msafi utakuwa na furaha, Ukiwa na Furaha utayapata mafanikio, Ukiyapata mafanikio utakuwa na Afya nzuri.
Labda anarasta huyu hahahaVp mkuu mbona mmmmh