Mie nakaribia kusuka rasta, mbona fresh tu nainjoi maisha... No stress
Raha tu mwali akiwa anazichezea chezea..
Bondeni kumekuwa kama wigi la maroune fellain
Kwahiyo unataka kuniambia nywele sehem za siri haziongez stress?Wanasaikolojia wana mbinu nyingi za kuwatatulia watu matatizo, na wengi huwaamini sana! Client anapomuana mwanasaikolojia anaamini 100% kuwa kile atakachoambiwa afanye kitamsaidia moja kwa moja kutatua shida zake!
Kilichomsaidia huyo client ni imani yake...
Vip uko sawa pande hz? Icje kuwa na we full kupembua nywele ili kuuona mwezhahaaaaaaaaaaaaaaa hii kali sana lol
Ingekuwa hivyo ni watu wengi sana wangekuwa na stress!Kwahiyo unataka kuniambia nywele sehem za siri haziongez stress?