Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,793 Feb 5, 2017 #1 Wembamba wa nywele zangu unazifanya ziwe za kipili pili. Nawaza kama zingeweza kuongezeka unene zikawa 'stout' hili lingesaidia zinyooke na ningeweza kufuga afro.... Sasa nawauliza nifanye nini ili nywele zangu ziweze kuongezeka diameter?
Wembamba wa nywele zangu unazifanya ziwe za kipili pili. Nawaza kama zingeweza kuongezeka unene zikawa 'stout' hili lingesaidia zinyooke na ningeweza kufuga afro.... Sasa nawauliza nifanye nini ili nywele zangu ziweze kuongezeka diameter?
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Feb 5, 2017 #2 Jaribu kupaka dawa ya kuumua makalio ila angalia kichwa kisijekuumuka!
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Feb 5, 2017 #3 Fanyia steaming hata mara tatu kwa mwezi