Nywele zangu za kichwani na ndevu, zinaota mapema sana ndani ya siku 2 hadi 3 zishakua

Nywele zangu za kichwani na ndevu, zinaota mapema sana ndani ya siku 2 hadi 3 zishakua

Zamani tuliambiwa kwamba "ukikata gogo" mara nyingi (labda mara tano kwa siku)hali hiyo utokea, sijui kama ina kweli wowote au ilikuwa ni maneno mbofumbofu!!
 
Una asili ya kizungu au bara la Asia?

Je, una asili ya Kisomali? Watu wa asili hizo, nywele zao hukua kwa kasi kuliko Wenzetu weusi.

Hata Kabila la Wairaq pia.

Sijui kama ni scientifically proved, ila Nina experience kubwa katika hilo.
 
Zangu hasa ndevu zinakua haraka ila mzee siku mbili hapo haujaongeza chumvi.

Yaani siku mbili kabisa nywele ulizonyoa zishakuwa.
 
sasa si ndo poa!unataka uwe kivuruge km tendwa!
 
asee hata mimi hii kitu niko nayo, yani ndani ya wiki tuu tayari ndevu na nywele zinaota kama zimetiwa urea au C.A.N
 
Back
Top Bottom