mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 Aug 7, 2017 #1 Eee wakuu hili ni tatizo au maana fasta zishafika juu Sent using Jamii Forums mobile app
M Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 2,025 Reaction score 1,270 Aug 7, 2017 #2 Labda unakunywa maji kwa wingi (alau Lita 3 kwa siku). Wengine watakuambia kwamba hiyo Ni dalili ya uzima wa mwili wako(wataalam naomba mnikosoe) Sent using Jamii Forums mobile app
Labda unakunywa maji kwa wingi (alau Lita 3 kwa siku). Wengine watakuambia kwamba hiyo Ni dalili ya uzima wa mwili wako(wataalam naomba mnikosoe) Sent using Jamii Forums mobile app
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 Aug 7, 2017 #3 Zamani tuliambiwa kwamba "ukikata gogo" mara nyingi (labda mara tano kwa siku)hali hiyo utokea, sijui kama ina kweli wowote au ilikuwa ni maneno mbofumbofu!!
Zamani tuliambiwa kwamba "ukikata gogo" mara nyingi (labda mara tano kwa siku)hali hiyo utokea, sijui kama ina kweli wowote au ilikuwa ni maneno mbofumbofu!!
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,204 Reaction score 15,207 Aug 7, 2017 #4 Una asili ya kizungu au bara la Asia? Je, una asili ya Kisomali? Watu wa asili hizo, nywele zao hukua kwa kasi kuliko Wenzetu weusi. Hata Kabila la Wairaq pia. Sijui kama ni scientifically proved, ila Nina experience kubwa katika hilo.
Una asili ya kizungu au bara la Asia? Je, una asili ya Kisomali? Watu wa asili hizo, nywele zao hukua kwa kasi kuliko Wenzetu weusi. Hata Kabila la Wairaq pia. Sijui kama ni scientifically proved, ila Nina experience kubwa katika hilo.
leiguanan JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 618 Reaction score 1,904 Aug 7, 2017 #5 Zangu hasa ndevu zinakua haraka ila mzee siku mbili hapo haujaongeza chumvi. Yaani siku mbili kabisa nywele ulizonyoa zishakuwa.
Zangu hasa ndevu zinakua haraka ila mzee siku mbili hapo haujaongeza chumvi. Yaani siku mbili kabisa nywele ulizonyoa zishakuwa.
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,961 Reaction score 5,460 Aug 7, 2017 #6 mbere said: Eee wakuu hili ni tatizo au maana fasta zishafika juu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pole sana subiri mvi zinakuja haraka sana, hazina maana hata kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
mbere said: Eee wakuu hili ni tatizo au maana fasta zishafika juu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pole sana subiri mvi zinakuja haraka sana, hazina maana hata kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,074 Aug 7, 2017 #7 sasa si ndo poa!unataka uwe kivuruge km tendwa!
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 899 Aug 7, 2017 #8 asee hata mimi hii kitu niko nayo, yani ndani ya wiki tuu tayari ndevu na nywele zinaota kama zimetiwa urea au C.A.N
asee hata mimi hii kitu niko nayo, yani ndani ya wiki tuu tayari ndevu na nywele zinaota kama zimetiwa urea au C.A.N
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 Aug 7, 2017 Thread starter #9 leiguanan said: Zangu hasa ndevu zinakua haraka ila mzee siku mbili hapo haujaongeza chumvi. Yaani siku mbili kabisa nywele ulizonyoa zishakuwa. Click to expand... Sijaongeza chumvi mkuu ni kweli Sent using Jamii Forums mobile app
leiguanan said: Zangu hasa ndevu zinakua haraka ila mzee siku mbili hapo haujaongeza chumvi. Yaani siku mbili kabisa nywele ulizonyoa zishakuwa. Click to expand... Sijaongeza chumvi mkuu ni kweli Sent using Jamii Forums mobile app