Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidieni nywele zangu zimepoteza ublack sasa hivi niza brown nafanyaje kuzirudisha katika hali yake ya kawaida?
Iget it thanksAlotNi ulipaka henna au zimekua zenyewe tu?
kama zimekua zenyewe tu steaming za asili zitakusaidia, leave-in conditioner ya bamia (okra) ukiweza plus tafuta castrol oil og uwe unapaka pia spray ya maji ya mchele au maji ya mpera tho sio swala la siku moja ila zitakua nyeusi
Kama uliweka hair color au henna bas weka black usonge mbele kama injili
Iget it thanksAlot
Ni sababu ya dawa Kata za juu halafu ziache natural na pia utumie mafuta ya naziNisaidieni nywele zangu zimepoteza ublack sasa hivi niza brown nafanyaje kuzirudisha katika hali yake ya kawaida?
Akizihudumia ndio fashion yenyewe hiyo mkuuZimepauka [emoji23][emoji23]
Kama ni izo ulipaka brichi tafuta piko utiekunywa lami