Nywele zangu zinakatika nikizichana

Nywele zangu zinakatika nikizichana

Methyl phenol

Senior Member
Joined
Jul 22, 2021
Posts
184
Reaction score
280
Natumia Black shine ila sio kivile, once per month mpaka miwil/mitatu.

Shampoo ndo natumia mara nyingi.

Nimejaribu kufikilia shida itakua ni nini sijapata.

Pia nfanyeje wanandugu maana mpaka znaacha space sasa
 
Natumia Black shine ila sio kivile,
once per month mpaka miwil/mitatu.

Shampoo ndo natumia mara nyingi.

Nimejaribu kufikilia shida itakua ni nini sijapata.

Pia nfanyeje wanandugu maana mpaka znaacha space sasa
Uzee huo
 
Uwaraza unaanza huo. Ukija kutahamaki bichwa linabaki jeupe😂

1689741496675.png
 
Ka unanyonyoka nwyele kapime kama una viluwiluwi vya kensa,ni moja kati ya dalili hivyo wahi.
 
Ahsanteni kwa ushauri wenu wakuu, namshukuru mungu now niko poa, kulingana na tatizo langu
Nlikuja kugundua ile shampoo ambayo nlikua natumia
nilikua nahifadhi sehem ambayo ilkua inapatwa na jua kwa mda mrefu
so I guess ilifanyika kemikali kwenye nywele ndo maana zikawa zinakatika, nlichokifanya nlinyoa low cut then nkaiacha ile shampoo now zko gud zshakua na zko na afya!![emoji120][emoji120][emoji119]
 
Kumbe black shine sio shida.
 
Back
Top Bottom