Nywila (Password) ya Maisha

U
Ukisemacho ni sahihi umenikumbusha msemo mmoja wa wazee wa busara wanasema. Kubali kuishi kama mjinga leo ili uwe njanja wa kesho
 
✊✊
 
Ndio tabia yangu hizo mi kwngu ni rahis sn kumzoea mwanajf kupitiliza ila ukuja live unakaz sana ya kunizoea tunaweza tukaongea Leo mpaka kupitiliza ila ukija kesho utaanza upya niliwai kaa nyumb moja HV miez nane hakuna MTU aliejua hata jina langu wala kazi halisi nifanyayo
 
Safi sana
 
Never out shines your master
Hapana. Hiyo law haiendani.

Hapa ni :
LAW NO 2
Never put too much trust in Friends

LAW 4
Always say less than necessary

LAW 46
Never appear too perfect.

LAW 17
Keep others in suspended terror

Pengine na zingine 2.

Hiki kitabu Magufuli alikitumia ipasavyo. Ipasavyo mno.

Najua wengi mnakijua.

48 LAWS OF POWER.
 
HIi ni elimu bora katika harakati zetu za utafutaji
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…