Nzaya Nzayadio Na seki zenge!!!!

Nzaya Nzayadio Na seki zenge!!!!

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Posts
10,678
Reaction score
4,370
Matoba..
Kayembe yoyoo bongisa.........
Nzaya Nzayadio, Ndukidi, Tonele, Mombasa vata, kiamangwana mateta, daaaaaaaaaaaaaaaaaaaah wimbo mtamu saaaaaaaaaaana huuuuuuuuu inanikumbusha nikiwa hata shule sijaanza nikiwa Sumbawanga miaka ya mwanzo ya themanini kaka zangu na rafiki zetu pale mtaani walikuwa wanaziimba hizi nyimbo saaaaaaaaana! wakati ule kavasha ipo juu!!! mzee wangu alikuwa na nyimbo za Lwambo, South Africa kibao, rafiki zetu walikuwa na nyimbo za kenya kibao. Kati ya wimbo ambao nilikuwa naupenda mpaka leo ni KAMIKI... kamiki yeye motema ooooh! kamiki yeyeyyyy motema oooooh! Jamani wikiendi Njema!!!!!
 
Mkuu kama una collection ya nyimbo hizo tuwasiliane. Zimenikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu. Those times were nice with good hits.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom