Punguza hasira mkuu! Usiwe na frasteshen zitakuua.Huo ni upuuzi... msisifie upuuzi!
Being inferior ts quite different from being humble!
Huyo jamaa inferiority complex inamtesa...badala ya kumhurumia nyie mnamsifia!
Waafrika hasa wa East Afrika ndio manaa tulitawalika kiurahisi! Hivi mtu unawezaje kumsifia mtu ambae hajiamini unamuita humble...aliekuambia kuwa humble manake ni kuwa na aibu nani?Punguza hasira mkuu! Usiwe na frasteshen zitakuua.
True hiyo point ya mleta mada nimeona ni kante kajiona inferior na sio kuwa humblewaafrika hasa wa east afrika ndio manaa tulitawalika kiurahisi! Hv mtu unawezaje kumsifia mtu ambae hajiamini unamuita humble...aliekuambia kua humble manake ni kua na aibu nani?
Huyu Mdengeleko yupo fit sana aisee..... ninamkubali.....Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, wakati France wanashangilia na kombe uwanjani jana, Steven N'zonzi ilibidi awaombe baadhi ya wachezaji wa France wamuachie N'Golo Kante nae alishike kombe hilo kwa sababu alikuwa anaona aibu kuwaambia.
Such a humble guy
Nadhani hujaangalia mechi nyingi za huyo kiumbe wa ajabu! Hakuna cha inferior anaanzaje kuwa enfirior kwenye timu yenye WACHEZAJI WEUSI KAMA YEYE 14 kati 23? KANTE hajawahi kujiona inferior....kuna watu wameumbwa wapole,KANTE huwa anajua kucheza mpira tu hajui kushangilia,hajui kulalamika kwa ufupi jamaa ni mpole hadi amepitiliza akikulamba buti atakuacha anaondoka zake na ukimlamba hatokutazama usoni atainuka ataendelea na maisha yake.Akipewa kadi alalamiki hata kama kaonewaTrue hiyo point ya mleta mada nimeona ni kante kajiona inferior,na sio kuwa humble
Inferiority complex ya nini Wakati ufarasa wenyewe zaidi ya 80% Ni weusi?Huo ni upuuzi... msisifie upuuzi!
Being inferior ts quite different from being humble!
Huyo jamaa inferiority complex inamtesa...badala ya kumhurumia nyie mnamsifia!
Huo ni upuuzi... msisifie upuuzi!
Being inferior ts quite different from being humble!
Huyo jamaa inferiority complex inamtesa...badala ya kumhurumia nyie mnamsifia!
Wapi wamesema hajiamini? Au kuwa humble kwako maana yake nini?waafrika hasa wa east afrika ndio manaa tulitawalika kiurahisi! Hv mtu unawezaje kumsifia mtu ambae hajiamini unamuita humble...aliekuambia kua humble manake ni kua na aibu nani?
Yategemea na mtazamo wako, mimi sijaona uajabu bado.Mkuu ktk picha zako huomi hata aina ya jezi alovaa huyo kante wenu ni ya ajabu kuliko wenzie
Nimemuuliza inferiority complex ya nini? hajajibu!Yategemea na mtazamo wako, mimi sijaona uajabu bado.
Mi niliamua kukaa kimya nimuache abwabwaje nimeangalia mechi zote alizocheza cante sijawahi kumuona akibadilika wala kuzozana na marefa uwanjani wala ulalamishi unajua kabisa hiyo tabia njema jamaa kazaliwa nayo sio mtu wa kuiga na kushoboka hovyo ya nini ajikweze wakati anajiamini?Nimemuuliza inferiority complex ya nini? hajajibu!
Achana nae huyo ....
Amezoea maisha ya Wabongo ukiwa Na uwezo flani au kipato Basi kwenye jambo lolote lazima uonyeshe kama unaweza!
Kumbe Jamaa hana makuu na mtu way back...