N'zonzi aliomba baadhi ya wachezaji wa Ufaransa ili Kante apige picha na kombe

Pia kazaliwa ufaransa Paris, kajiunga na academy ya soka akiwa mdogo kabisa. Kama ni inferiority ya wazungu, yuko nao toka anazaliwa. Sio wageni kwake.
Ni sawa na messi, messi kapewa ukapteni sababu ya kiwango chake ila hana leadership skills na haongei, mkimya na haishi maisha ya kujionesha. Huwezi ita hii ni inferiority. Ni jinsi watu wengine walivyo.
 
Ng'olo Kante: the Cheap Labour😀
 
Namkubali sana huyu dogo. Yani hana heka heka kabisa ktk mishe zake.
 
Mnasifia ujinga...inferiority complex on highest level
 
hata kipind tuna cheza naye chandimu alkua hvyo hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…